sw_tn/rev/22/intro.md

877 B

Ufunuo 22 Maelezo ya jumla

Muundo na mpangilio

Sura hii inasisitiza kwamba nabii za kitabu cha Ufunuo zinaenda kutimilika hivi karibuni. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet)

Dhana muhimu katika sura hii

Mti wa uzima

Kuna uwezekano kwamba kulinuiwa kulinganisha mti wa uzima katika Bustani ya Edeni na mti wa uzima unaotajwa hapa. Laana ilioanza Edeni itaisha wakati huu.

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

Alfa na Omega

Haya ni majina ya herufi za kwanza na za mwisho katika alfabeti ya Kigriki. ULB inafafanua majina yao kwa Kiingereza. Mpangilio huu unweza kuwa kielelezo cha watafsiri wengine. Watafsiri wengine, hata hivyo, wanaweza kuamua kutumia herufi za kwanza na za mwisho katika alfabeti zao, kwa mfano "A na Z " katika Kiingereza.

__<< | __