sw_tn/rev/14/intro.md

1.1 KiB

Ufunuo 14 Maelezo ya jumla

Dhana muhimu katika sura hii

"Ushindi dhidi ya yule mnyama"

Huu ni ushindi katika vita vya kiroho vinavyotokea wakati huu. Ingawa vita vingi vya kiroho haviezi kuonekana, kitabu cha Ufunuo kinatupa taswira ya wakati vita vya kiroho vitatokea hadharani. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc:///ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])

Alama ya yule mnyama

Yohana amechukua muda mrefu kwa kuzungumzia ile alama inayopewa na yule mnyama. Wasomi wengi wanaamini kwamba sura hii inafundisha kwamba wale wanapokea alama hii watapata adhabu ya milele katika kuzimu. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/eternity]] na [[rc:///tw/dict/bible/kt/hell]])

Dhana muhimu katika sura hii

Mavuno

Mavuna ni mfano ya kawaida katika maandiko. Mavuno huashiria wakati vitu vizuri hutokea. Mara nyingi hutumiwa kuashiria watu kutokea kumwamini Yesu lakini Yohana hamaanishi hivi hapa. Hapa inatumika kufafanua kumalizika kwa mipango ya Mungu. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/faith)

<< | >>