sw_tn/rev/04/intro.md

1.4 KiB

Ufunuo 04 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 4:8,11

Sura hii inaanzisha sehemu iliyobaki ya kitabu cha Ufunuo na ni tofauti na sura tatu za kwanza. Inaelezea kufumbuliwa kwa picha Yohana anaona kwenye maono yake.

Dhana muhimu katika sura hii

Utukufu

Sura hii yote ni picha inayofafanua onyesho fulani mbinguni ambapo kila kitu kinampatia Mungu utukufu kila wakati. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/heaven]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/glory]])

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Mfano

Ufafanuzi wa mtu akaliaye kwenye kiti cha enzi una mifano nyingi sana. Tamaduni nyingi hazina haya mawe maalum ya thamani na kuna uwezekano yanaashiria kitu fulani chenye umuhimu. (Tazama: [[rc:///ta/man/translate/figs-simile]] and [[rc:///ta/man/translate/translate-unknown]])

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii.

Picha ngumu

Kuna picha nyinga ambazo zisizo wezekana kuwa ngumu ama zisizoezekana.Kwa mfano,mwanga utokapo kwenye kiti cha enzi, taa ambazo ni roho saba za Mungu "ama mfano wa bahari iliyo mbele ya kiti cha enzi.Ni vyema kuacha ugumu huu kubaki katika tafsiri yako. (Tafsiri: rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)

<< | >>