sw_tn/pro/23/19.md

466 B

Maelezo ya Jumla

Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)

Sikia-wewe! mwanangu

"mwanangu sikiliza kwa makini."

uelekeze moyo wako katika njia

"hakikisha unatenda kwa busara"

walaji wa nyama walafi

  1. watu wanaokula nyama zaidi ya mahitaji yao" au 2) "watu wanaokula chakula kingi zaidi ya hitaji lao."

usingizi utawavika matambara

"kwa sababu wanatumia muda mwingi kwa kula na kunywa,wala hawafanyi kazi kwa hiyo watakuwa maskini"