sw_tn/oba/01/17.md

32 lines
749 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kutoa Obadia ujumbe wake
# kuokoka
"kukimbia adhabu ya Bwana." Hawa ndio watu ambao bado wana uhai baada ya Bwana kuwaaadhibu.
# na hiyo
Neno "hilo" linamaanisha "mlima Sayuni."
# nyumba ya Yakobo ... Josephu ni moto
Bwana anafananisha nyumba za Yakobo na Yosefu kwa moto kwa sababu wao watamwangamiza Esau kama moto ambayo haraka na kuchoma kabisa majani.
# majani
"'majani" au "mchanga." Vipande vya kavu vya mimea ambazo zimeachwa baada ya nafaka huvunwa.
# na wao
Neno "wao" linamaanisha nyumba ya Yakobo na nyumba ya Yosefu
# watawachoma
Neno "wao" linamaanisha wana wa Esau, ambao ni taifa la Edomu
# Hakutakuwa na waathirika kwa nyumba ya Esau
"Hakuna mtu mmoja wa nyumba ya Esau ataokoka'"