sw_tn/num/09/13.md

745 B

mtu yeyote asiye najisi

Mtu ambaye anakubalika kwa Mungu kiroho ni yule ambaye anaonekana kuwa kimwili ni msafi

kuishika Pasaka

Tazama 9:4

huyo mtu lazima aondolewe

Neno "kuondolewa" linamaanisha kukatiliwa mbali.

uliopangwa

ulioamriwa

Huyo mtu lazima abebe dhambi yake

"Mtuhuyo lazima abebe adhabu ya dhambi yake"

anayeishi kati yenu

kiwakilishi cha "yenu" kinamaanisha watu wa Israeli

ataishika na kufuata amri zote

"huyo mgeni ataishika na kufuata yote ambayo BWANA ameamuru"

ataishika na kufuata amri zote , na kufuata taratibu zake

Virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile, vimetumika kutia msisitzo wa kwamba huyo mgeni atazitii sheria zote na kuishika Pasaka.

katika nchi

"katika nchi ya Israeli"