sw_tn/num/09/11.md

409 B

Watishika Pasaka

Tazama 9:4

Sikuy a kumi na nne ya mwezi wa pili

"siku ya 14 ya mwezi wa 2"

wa jioni

"wakati wa jua kuzama"

Wataila

"Watamla mwanakondoo wa Pasaka"

kwa mikate isiyotiwa chachu

"kwa mikate iliyotengenezwa bila amira" au "kwa mikate ambayo haina amira"

mboga chungu

hii ni mimea midogo midogo ambayo ina radha mbaya

kuvuunja mifupa yake

"wasivunje mifupa yake yeyote"