sw_tn/num/09/06.md

439 B

walionajisika kwa sababu ya maiti

"walinajisika kwa sababu ya kugusa maiti"

kunajisika

Mtu ambaye Mungu anamwona hakubaliki kiroho ni yule ambaye katika hali ya mwili alikuwa amenajisika.

kuishika Pasaka

Tazama 9:4

kwa sababu ya maiti

"kwa sababu tumegusa maiti"

kwa nini basi unatutaka tuendelee kutoa sadaka ... wana wa Israeli?

Si sahihi kutuzuia kutoa sadaka ... kati ya wana wa Israeli.

uliopangwa

"ulioamriwa"