sw_tn/num/09/04.md

228 B

wataishika sikukuu ya Pasaka

Neno "wataishika" linamaanisha kuikumbuka. "kuikumbuka sikukuu ya Pasaka" au "Kuisherehekea sikukuu ya Pasaka"'

katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza

"katika siku ya 14 ya mwezi wa 1"