sw_tn/neh/13/28.md

481 B

Yoyada....Eliashibu...Sanbalati

Haya ni majina ya wanaume

Mhoroni

mtu kutoka mji wa Beth...Horoni

nilimondoa kutoka mbele yangu

"Nilimfukuza" au "nimemfanya aondoke Yerusalemu"

Wakukumbushe

"Fikiria juu yao" au "Kumbuka kile walichofanya"

wameunajisi ukuhani

"wamekufanya ufikirie juu ya makuhani na kazi yao kama kwamba walikuwa wachafu"

na agano la ukuhani na Walawi

"wamekufanya ufikirie juu ya agano ulilofanya na makuhani na Walawi kama kwamba ni safi"