sw_tn/neh/12/46.md

684 B

kulikuwa na wasimamizi wa waimbaji

Sentensi hii inaeleza kwa nini watu walifanya kile walichofanya katika 12:44 na kutupa habari zaidi juu ya wakati ambapo Daudi aliwaambia watu jinsi ya kuabudu hekaluni.

Katika siku za Zerubabeli

Zerubabeli alikuwa mzao wa Mfalme Daudi na mmoja wa watawala katika eneo la Yuda.

Wakaweka pembeni sehemu

"Israeli wote wakaweka pembeni sehemu"

walinzi wa malango

watu waliopewa kila mlango, wajibu wa kudhibiti shughuri zote za jiji au hekalu, na kufungua na kufunga milango kwa nyakati na kwa sababu zilizowekwa na msimamizi. Tafsiri kama katika 7:1.

wana wa Haruni

makuhani katika Israeli, ambao walitoka kwa Haruni, ndugu wa Musa