sw_tn/neh/07/66.md

262 B

Sentensi unganishi

Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni.

Kusanyiko lote kwa pamoja

"Kundi zima pamoja"

ilikuwa 42,360

"ilikuwa watu 42,360"

waimbaji wanaume na wanawake

"waimbaji wanaume na waimbaji wanawake"