sw_tn/neh/07/64.md

924 B

Hawa walitafuta rekodi zao kati ya waliojiunga na kizazi chao

"Walitaka kumbukumbu zao za maandishi" au "Walitafuta kumbukumbu zao za maandishi"

Hawa walitafuta

"Hawa" zinamaanisha wana wa Hobaya, Hakozi na Barzilai. (Angalia 7:61)

lakini hawakuweza kuzipata

Hii inaweza kuelezwa kwa fomu ya kazi. AT "lakini hawakuweza kupata rekodi zao"

kwa hivyo waliondolewa katika ukuhani kama walio najisi

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. Jina la kibinadamu "ukuhani" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi 'kazi kama makuhani.' AT "gavana aliwatendea kama walikuwa najisi na hawakuwaruhusu kufanya kazi kama makuhani"

mpaka atakapoinuka kuhani mwenye Urimu na Thumimu.

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "mpaka kuhani aliye naUrimu na Thumimu alikubali"

Urimu na Thumimu.

Haya yalikuwa mawe matakatifu ambayo kuhani mkuu alipitia kifuani pake na kutumika mara kwa mara ili kujua mapenzi ya Mungu.