sw_tn/neh/03/08.md

806 B

Uzieli...Harhaya...Hanania...Refaya....Huri... Yedaya...Harumafu...Hatushi ...Hashabneya

Haya ni majina ya watu

mfuadhahabu

Mfuadhahabu ni mtu anayefanya mapambo ya dhahabu na vitu vingine vya dhahabu.

wafuadhahabu, Huru alijenga ukuta ... Harumafu alijenga ukuta ... Hashabneiah alijenga ukuta

Maneno haya yanataja kujenga ukuta. wafuadhahabu, walijenga ukuta ... Huru alijenga ukuta ... Harumaph alijenga ukuta ... Hashabneiah alijenga ukuta "

baada yake Hanania, mtengenezaji wa manukato

Hanania alijenga ukuta pia. AT "baada yake Hananiah, mtengeneza manukato, alijenga ukuta"

manukato

kimiminika kioevu ambazo watu huvaa mwili wao kwa kiasi kidogo cha harufu nzuri

mtawala

"msimamizi mkuu"au "kiongozi"

nusu ya wilaya

"Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa.