sw_tn/luk/23/52.md

560 B

Mtu huyu

"Josefu "

alimkaribia Pilato, akaomba

"alikwenda kwa Pilato na kuomba"

Alimshusha chini

"Josefu alichukua mwili wa Yesu kutoka msalabani"

akauzungushia sanda

"Akafunga mwili katika nguo nzuri ya kitani'

akamweka katika kaburi

"kuweka mwili wa Yesu kwenye kaburi" au "Kuweka mwili wa Yesu kwenye chumba cha kuzikia"

lililokuwa limechongwa katika jiwe

"Kaburi ambalo mtu alilichonga kwenye mwamba"

ambalo hakuna aliyewahi kulazwa

Hii inaweza ikatafsiriwa kama sentensi mpya. "Hakuna aliyewahi kuweka mwili katika kaburi hilo"