sw_tn/luk/23/27.md

411 B

waliomboleza kwa ajili yake

"kuomboleza kwa ajili ya Yesu"

wakimfuata

"waliokuwa wakimfuata Yesu"

Mabinti wa Yerusalemu

"Mabinti" wa mji maana yake watu wa mji . "ninyi wanawake mliotoka Yerusalemu"

msinililie mimi

"kulia kwaajili ya hali yangu"

bali jililieni ninyi wenyewe na kwa ajili ya watoto weno

"badala yake mlie kwa ajili ya mambo yanayokwenda kutokea kwa ajili yenu na watoto wenu"