sw_tn/luk/23/15.md

759 B

Hapana, hata Herode hajaona

"Hata Herode hafikiri kwamba ana hatia" au "Hata Herode anafikiri kuwa hana hatia"

kwa

"kwasababu" au "tunjua hili ni kwasababu"

amemrudisha kwetu

"Herode alituma Yesu arudishwe kwetu" Neno "kwetu" linamaanisha Pilato na askari wake,na siyo makuhani na waandishi waliokwenda kwa Herode pamoja na Yesu, wala sio makutano.

hakuna chochote alichokifanya kinachostahili adhabu ya kifo

"hakufanya kitu chochote kinachostahili adhabu ya kifo"

Kwahiyo basi nitamuadhibu

Kwa sababu Pilato alikuwa hakuona kosa kwa Yesu anapaswa kumtoa bila adhabu. Siyo lazima kujaribu kufanya kauli hii iendane na tafsiri kifikra. Pilato alimuadhibu Yesu, ambaye alijua kuwa hana hatia, kwa sababu tu alikuwa na hofu ya umati wa watu.