sw_tn/luk/23/08.md

535 B

alifurahi sana

"Herode alifurahi sana"

alitaka kumuona

"Herode alihitaji kumuona Yesu"

Alisikia habari zake

"Herode alisikia habari ya Yesu"

na alitamani

"Herode alitamani"

kuona baadhi ya miujiza anayoifanya

"kumuona yeye akifanya baadhi ya miujiza"

Herode alimhoji Yesu kwa maneno mengi

"Herode alimuuliza Yesu maswali mengi"

hakumjibu chochote

"Hakumjibu" au "hajampa Herode majibu"

walisimama

"walisimama pale"

kwa ukali kumshutumu

"walimshutumu Yesu kwa ukali" au "walimshutumu yeye kwa hasira"