sw_tn/luk/20/09.md

624 B

Taarifa ya jumla

Yesu alaanza kuwaambia mfano watu waliokuwa hekaluni

Aliwakodisha wakulima wa mzabibu

"aliwaruhusu baadhi ya wakulima wa mizabibu watumie kwa mabadilishano ya pesa" au "aliwaruhusu wakulima wa mizabibu walitumie ba baadae wamlipe pesa"

Wakulima wa mizabibu

Watu ambao hupanda na kukuza mizabibu. "wakulima wa mizabibu"

matunda ya shambani

"Baadhi ya mizabibu" au "baadhi ya walichozalisha kwenye shamba." Pia inaweza kuelezea vitu amabavyo vinatokana na zabibu au pesa zinazotokana na mauzo ya zabibu

Wakamrudisha mikono mitupu

"wakamrudisha bila kumlipa" au "wakamrudisha bila mizabibu"