sw_tn/luk/20/07.md

479 B

Ndipo wakamjibu

"ndipo wakuu wa makuhani na mafarisayo na wazee wakamjibu" Neno "ndipo" linaonyesha tukio limetokea kutokana na tukio limgine lililotokea kabla.

Walijibu kuwa hawakujua ilikotoka

Wakasema, "hatujui ilipotoka"

Imetoka wapi

"Yohana mbatizaji alitoka wapi." Mamlaka aliyokuwa nayo Yohana ya kubatiza yalitoka wapi" au "nani alimpa mamlaka Yohana ya kubatiza watu."

Nami sitawaambia

"Na sitawaambia" au "kama ambavyo hamniambii basi na mimi siwaambii"