sw_tn/luk/20/03.md

565 B

Taarifa ya jumla

Yesu anawajibu wakuu wa makuhani, mafarisayo na wazee.

aliwajibu na kuwaambia

"Yesu akawajibu"

Ilitoka mbinguni au kwa watu?

Yesu alijua mamlaka ya Yohana ilitoka mbinguni, Aliuliza swali ili vingozi wa kiyahudi waseme wanavyofikiri kwa wote waliowasikiliza. "mnafikiri mamlaka ya Yohana yalitoka mbinguni au kwa wanadamu?" au "mnadhani Mungu alimwambia Yohana abatize watu au watu walimwambia afanye hivyo?"

Toka mbingini

"toka kwa Mungu" Wayahudi waliepuka kumtaja Mungu kama "Yawe". Mara nyingi wanatumia neno "Mbingu" kumuelezea