sw_tn/luk/19/47.md

371 B

Maelezo yanayounganisha.

Huu ni mwisho wa sehemu ya simulizi hii. Aya hizi zinaelezea kuhusu hatua inayoendelea baada ya sehemu kuu ya simulizi kuisha.

Hekaluni

'Hekaluni' au 'kwenye hekalu'

Makuhani wakuu

'Mwenye cheo cha juu cha makuhani' 'makuhani muhimu zaidi '

Walikuwa wakisikiliza kwa makini

"Walisikiliza kwa makini kile alichokuwa akikisema Yesu"