sw_tn/luk/19/45.md

495 B

Maelezo yanayounganisha:

Hili ni tukio lingine kwenye sehemu hii ya simulizi. Yesu aliingia hekaluni.

Kufukuza

"Kutoa nje" au "kutoa kwa nguvu nje"

Imeandikwa

Hii imenukuliwa toka Isaya. "Maandiko yanasema" au "Nabii aliandika maneno haya kwenye maandiko"

Nyumba yangu

Neno "yangu" inamuelezea Mungu na "nyumba" linaelezea hekalu.

Nyumba ya sala

"sehemu ambayo watu wananiomba"

Pango la wanyang'anyi

"sehemu ambayo wanyang'anyi wanajificha." "Kama pango la wanyang'anyi."