sw_tn/luk/19/32.md

372 B

Wale waliotumwa

"Wale waliotumwa na Yesu" au "Wanafunzi wawili waliotumwa na Yesu"

Walitandika mavazi yao juu ya mwanapunda

"waliweka nguo zao juu ya mwanapunda." Mavazi ni nguo. Hapa inamaanisha mavazi ya nje au nguo.

Walitandaza mavazi yapo

"watu walitandaza mavazi yao" au "wengine walitandaza mavazi yao." Hii ni ishara ya kuonyesha heshima kwa mtu fulani.