sw_tn/luk/16/16.md

1.3 KiB

sheria na manabii

Hii inahusu maneno yote ya Mungu kwamba yalikuwa yameandikwa hadi wakati huo.

Yohana alikuja

Hii ina maana ya Yohana Mbatizaji. "Yohana mbatizaji alikuja"

injili ya ufalme wa Mungu hutangazwa

Hii inaweza semwa kama: "Mimi nafundisha watu kuhusu habari njema ya ufalme wa Mungu"

kila mmoja anajaribu kulazimisha njia yao ndani yake

Hii ina maana ya watu ambao walikuwa wakisikiliza na kukubali mafundisho ya Yesu. "Watu wengi wanafanya kila liwezekanalo kuingia"

ni rahisi zaidi mbingu na dunia kupita, kuliko

"kama unavyo jua kuwa mbingu na ardhi hawezi kupita, unaweza kuwa na uhakika kwamba"

kuliko hata herufi moja ya sheria ikosekane

maneno "herufi moja ya sheria" maana yake ni sehemu ndogo ya barua. Ni inahusu kitu katika sheria ambayo inaweza kuonekana kuwa haina umuhimu saana. "kuliko kwa mtu kuondoa hata undani ndogo ya sheria."

ni rahisi zaidi mbingu na dunia kupita kuliko hata herufi moja ya barua ya sheria kukosekana

Hii inaweza kusemwa kama, "hata herufi ndogo ya barua ya sheria itadumu saana kuliko mbingu na nchi kuwepo"

kuliko hata herufi moja ya barua

"Herufi" ni sehemu ndogo ya barua. Ni inahusu kitu katika sheria ambacho kinaweza kuonekana kuwa hakina umuhimu saana. "kuliko kwa hata undani mdogo wa sheria"

kuwa batili

"mwisho" au "kusitisha kuwepo"