sw_tn/luk/15/08.md

1002 B

Kuunganisha kauli:

Yesu anaanza kuwaambia mfano mwingine. Ni kuhusu mwanamke na shilingi kumi.

Au mwanamke gani ... hatawasha taa ... na kutafuta kwa bidii hata aipate?

Yesu anatumia swali kuwakumbusha watu kwamba yeyote kati yao akipoteza safara ya fedha, bila shaka ataanza kuitafuta kwa bidii.

Mwanamke gan.

Hii ni hali dhahania na si hadithi kuhusu mwanamke halisi. Baadhi ya lugha ina njia ya kuonesha hili.

Hata hivyo

"Kwa njia hiyo hiyo" au "Kama vile watu hushangilia pamoja na mwanamke"

mwenye dhambi mmoja anayetubu

"wakati mwenye dhambi mmoja akitubu"

Au mwanamke gani ... hatawasha taa ... na kutafuta kwa bidii hata aipate?

Yesu anatumia swali kuwakumbusha watu kwamba yeyote kati yao akipoteza safara ya fedha, bila shaka ataanza kuitafuta kwa bidii. "Mwanamke yeyote ... bila ya shaka atawasha taa ... na kutafuta kwa bidii hata aipate"

Kama alikua apoteze

Hii ni hali dhahania na si hadithi kuhusu mwanamke halisi. Baadhi ya lugha na njia ya kuonesha hili.