sw_tn/luk/15/03.md

1.2 KiB

Taarifa kwa ujumla

Yesu anaanza kwa kuwaambia mifano kadhaa. mfano wa kwanza ni kuhusu mtu na kondoo wake.

kwao

Hapa "wao" inamaanisha viongozi wa dini.

Nani kati yenu ... mpaka ampate?

Yesu anatumia swali kuwakumbusha watu kwamba kama yeyote kati yao akipoteza mmoja wa kondoo wake, wataenda kumtafuta. Baadhi ya lugha na njia za kuonyesha kwamba hii ni hali dhahania na si hadithi kuhusu mtu fulani ambaye amepoteza kondoo.

Nani kati yenu, kama ana kondoo mia

Kwakua mfano umeanza na "Nani kati yenu," baadhi ya lugha zingeendeleza mfano katika mtu wa pili. "Tuseme mmoja wenu, kama ana kondoo mia"

mia ... tisini na tisa

tisa "100 ... 99"

Nani kati yenu ... hata waacha... mpaka ampate?

Yesu anatumia swali kuwakumbusha watu kwamba kama mmoja kati yao wamepoteza mmoja wa kondoo zao, wao bila ya shaka huenda kumtafuta. "Kila mtu ... bila ya shaka huondoka ... mpaka ampate." Baadhi ya lugha na njia za kuonyesha kwamba hii ni hali dhahania na si hadithi kuhusu mtu fulani ambaye amepoteza kondoo.

mia ... tisini na tisa

tisa "100 ... 99"

kumlaza mabegani mwake

Hii ilikuwa njia ambayo wachungaji walibeba kondoo. Hii inaweza kusemwa "kumlaza mabegani mwake na kumbeba nyumbani"