sw_tn/luk/12/33.md

426 B

na mkawape maskini

"na wapeni watu maskini fedha mlizopata kwa mauzo"

mjifanyie mifuko ...hazina ya mbinguni

mifuko na hazina mbinguni zinamaanisha kitu kimoja. Vyote vinawakilisha baraka za Mungu mbinguni.

mjifanyie

"kwa namna hii mtajifanyia wenyewe"

mifuko isiyoishiwa

"mifuko ya fedha ambazo hazitoboki"

isiyokoma

'"ambazo haiishiwi" au "haipungui"

Moyo wako

Hapa "moyo" una maanisha mawazo ya mtu.