sw_tn/luk/07/18.md

744 B

Taarifa Unganishi :

Yohana anatuma wawili wa wanafunzi wake kumuuliza Yesu.

Wanafunzi wa Yohana walimwambia kuhusu mambo yote

Hii inatambulisha tukio jingine kwenye habari

akamwambia

"akamwambia Yohana"

mambo yote haya

"mambo yote alikuwa anafanya"

watu walisema, "Yohana mbatizaji ametutuma kwako kusema 'ni wewe ... au tumtazamie mwingine?"

Sentensi hii inaweza kuandikwa hivyo kwamba ikawa na nukuu ya moja kwa moja tu. NI: "watu walisema kwamba Yohana mbatizaji aliwatuma wao kwake kuuliza 'wewe ni yule ajaye, au tumtazamie mwingine?" au "watu walisema, '"Yohana katutuma sisi kwako kuuliza kama ni yule ambaye anakuja, au kama tutazamie mwingine."

tumtazamie mwingine

"tusubiri mwingine" au "tumtazamie mtu fulani"