sw_tn/luk/06/22.md

439 B

Mmebarikiwa ninyi

"Mmepokea neema ya Mungu" au "Mnanufaika" au "Ni kwa namna gani ni nzuri kwenu"

Kuwatenga ninyi

"kuwakataa ninyi"

Kwa ajili wa Mwana wa Adam

"kwa sababu mnajumuika na Mwana wa Adam" au" kwa sababu walimkataa Mwana wa Adam "

Siku hiyo

"Kipindi wanafanya mambo hayo" au "kipindi yanatokea"

vuna kwa furaha

Nahau hii inamaanisha "kuwa na furaha zaidi"

dhawabu kubwa

"malipo makubwa" au "zawadi nzuri"