sw_tn/luk/06/12.md

585 B

taarifa kwa Ujumla

Yesu anachagua mitume kumi na wawili baada ya kuomba usiku mzima.

Ikatokea katika siku hizo

kirai hiki kimetumika hapa kuashiria mwanzo wa kipande kipya cha masimulizi.

katika siku hizo

"katika wakati huo" au"sio mbali baada ya hapo " au" siku moja katikati ya hapo"

alikwenda nje

"Yesu alikwenda nje"

ilipokuwa siku

"ilipokuwa asubuhi" au "siku iliyofuata"

Aliwachagua kumi na wawili miongoni mwao

"aliwachagua kumi na wawili kati ya wanafunzi"

"ambao pia aliwaita mitume"

"ambao aliwafanya mitume" au "na alipowateua wao kuwa mitume."