sw_tn/luk/05/33.md

800 B

Akawaambia

"Viongozi wa dini wakasema kwa Yesu"

inawezekana yeyote akafanya ... pamoja nao?

Yesu alitumia swali kusababisha watu kufikiri kuhusu hali ambayo tayari wanaijua."Hakuna mmoja wenu anawaambia waliohudhuria harusini kufunga wakati bado Bwana arusi yupo nao."

waliohudhuria harusini

"wageni" au "marafiki. "Hawa ni marafiki ambao husherehekea na mtu ambaye anafunga ndoa.

waalikwa wa bwana arusi wanafunga

kufunga ni ishara ya huzuni. Viongozi wa dini walielewa kwamba waalikwa arusini hawawezi kufunga wakati bwana arusi akiwa pamoja nao.

siku zitakuja

"upesi" au siku hizo" (UDB)

Bwana Arusi atakapoondolewa kwao.

Yesu anajifananisha yeye mwenyewe na bwana arusi, wanafunzi wake ni waalikwa arusini. Hakufafanua sitiari, hivyo tafsiri ieleze kama ni lazima tu.