sw_tn/luk/03/07.md

807 B

Kubatizwa na Yeye

Hii inaweza kuelezewa katika hali ya kutenda. AT: "Kwa Yohana kuwabatiza"

Enyi kizazi cha Nyoka wenye sumu

Katika sitiari hii, nyoka wenye sumu ni hatari na wanawakilisha uovu. AT: "Ninyi nyoka waovu wenye sumu!" au "Ninyi ni waovu kama nyoka wenye sumu."

Nani aliyewaonya ... kuja?

Hakuwatarajia haswa kujibu. Yohana alikuwa anawakemea watu kwasababu walikuwa wanamwomba awabatize, lakini hawakutaka kuacha kutenda dhambi. AT: "Hamwezi kuikimbia gadhabu ya Mungu namna hii" au "Hamwezi kuepuka gadhabu ya Mungu kwa kubatizwa."

Kutoka kwenye ghadhabu inayokuja

Neno "gadhabu" linatumika hapa kumaanisha adhabu ya Mungu kwa sababu gadhabu yake inaizidi hiyo. AT: "kutoka kwenye adhabu ambayo Mungu anaituma" au "kutoka kwenye gadhabu ya Mungu ambayo yuko karibu kuiachilia"