""malaika kutoka kwa Bwana" au "malaika anayemtumikia Bwana"
"akaja kwa wachungaji"
chanzo cha mwanga mweupe ulikuwa ni utukufu wa Bwana, ambao uliwatokea kwa wakati ule ule kama malaika.