sw_tn/lev/27/03.md

855 B

tumieni tathmini zifuatazo viwe viiwango vyenu vya thamani

"Kiasi cha kulipa" au yapasa ulipe"

Ishirini ... sitini ... hamsini ... thelathini

"20 ... 60 ... 50 ... 30"

shekeli hamsini za fedha

Kama ni laziam kutumia vipimu vya uzani vya kisasa, hapa kuna nhia mbili kufanya hilo. "vipand hamsini vya fedha, ambacho kila kimoaja hupima gramu kumi" au "gramu mia tano za fedha"

kulingana na vipimo vya shekeli ya mahali pa patakatifu

Hizi zikikuwa shekeli za vipimo mbali mbali. Hii ni njia moja ambayo mtu alikuwa atumie kwenye hema takatifu. Kilipima gramu 11. : Tumie aina ya shekeli inayotumika kwenye hema la kukutania" au "mnapopima fedha, tumieni ni kipimo amabacho hutumika kwenye hema.

shekeli thelathini

: "vipande thelathini vya fedha, ampao kila kimoja hupima gramu kumi" au "shekeli thelathini sawasawa na gramu mia tatu"