sw_tn/lev/26/40.md

648 B

kugeuka dhidi yao

Hii huwakilisha kuwapinga> : "kuwapinga wao"

iwapo mioyo yao isiyotahiriwa itanyenyekezwa

Hapa ule msemo "mioyo isiyotahiriwa" humaanisha nafsi nzima. : " kama wao watakuwa wanyenyekevu badala ya kukaidi kwa ushubavu"

nami nitalikumbuka agano langu na Yakobo, agano langu na Isaka, agano langu na Abrahamu

"Kukumbuka " ni nahau inayomaanisha kukumbuka kwa makusudi. Hapa inawakilisha kutimiza agano lake. : "kisha nitatimiza agano nililofanya na Yakobo, Isaka na Abrahamu"

nitaikumbuka nchi

"Kukumbuka " ni nahau inayomaanisha kukumbuka kwa makusudi." Hapalinawakilisha nchi. : "Nitatimiza ahadi yangu juu ya nchi"