sw_tn/lev/25/45.md

4.7 KiB

mgeni, -a kigeni, mpitaji

Tama maelezo katika sura zilizotangulia

Familia

Ule msemo "familia" humaanisha kikundi cha watu wanaohusiana kwa damu na kwa kawaida huhusisha baba, mama, na watoto wao. Mara kwa mara pia huhusisha ndugu wengine kama vile babu na bibi, wajuu, wajomba na shangazi. . Familia ya Kiebrania ni jamii ya kidini inayopitia chini ya mapokeo chini ya ibada na maelekezo. . Familia pia yaweza kujumuisha watumwa, masuria, na hata wageni. Baadhi ya lugha zaweza kuwa na nenonpana kama vile "ukoo" au "kaya" ambalo linaweza kufaa vema katika mazingira ambayo huhusisha zaidi ya wazazi, na watoto tu . . Ule msemo "familia" pia umetumika kumaanisha watu wanaohusiana kiroho, kama vile watu waliosehemu ya familia ya Mungu kwa sababu wanamwamini Yesu.

Watoto, mtoto

Katika Biblia ule msemo "mtoto" mara kwa mara umetuka kwa ujumla kumaanisha mtu mwingine aliye mdogo kiumri, pamoja na mtot mchanga. Ule msemo "watoto" ni mtindo wa wingi nao pia una maana nyingi za kitamathali.

. Katika Biblia, wale wanafunzi au wafuasi wakati mwingine wanaitwa "watoto" . Mara kwa mara ule msemo "watoto" limetumika kuamanisha mzao wa mtu . Kile kirai "wana wa" chaweza kumaanisha wale wanaoelezewa na kitu fulani. Baadhi ya mifano hii yaweza kuwa . watoto wa nuru . watoto wa kutii . watotowa mwovu . Msemo huu waweza pia kumaanisha watu ambao wako kama watoto wa kiroho. Kwa mfano, "watoto wa Mungu" humaanisha watu wa Mungu kupitia imani katika Yesu.

rithi, urithi, mirathi, mrithi.

Ile misemo "rithi" ana "urithi" humaanisha kupokea kitu fulani cha thamani kutoka kwa mzazi au mtu mwingine kwa sababu ya uhusiano maalum na mtu huyo. "Mrithi" ni mtu anayepokea urithi.

. Urithi wa kuonekana unaopokelewa waweza kuwa fedha, ardhi, au aina nyine ya mali. . Urithi wa kiroho ni kila kitu ambacho Mungu huwapa watu wanaoamini katika Yesu, ikiwa ni pamoja na baraka katika maisha haya pia na uzima wa mile na kukaa paoja naye.

. Pia Biblia inawaita watu wa Mungu kuwa ni hurithi wake, ambapo humaanisha kwamba wao ni wake yeye, wao ni miliki yake ya thamani.

. Mungu alimwahidi Abrahamu na wazao wake kwamba wangerithi nchi ya Kanaani, nayo ingekuwa yao milele.

. Pia kuna maana ya kitamthali au kiroho ambamo kwayo watu wa Mungu wametajwa kuwa "watairithi nchi." Hii humaanisha kwamba wao watastawi na kubarikiwa na Mungu katika njia zote mbwili kimwili na kiroro

. Katika Agano Jipya, Mungu anaahidi kwamba wale wanaomtegemea Yesu "watarithi wokovu" na "kurithi uzima wa milele." Pia imeelezwa kuwa, ni kurithi ufalme wa Mungu." Huu ni urithi wa kiroho udumuo milele. . Kuna maana nyingine za kitamathali za misememo hii

. Biblia husema kwamba wale watu wenye hekima watarithi "utukufu" na watu waliowanyoofu "watarithi mambo mema"

. "Kurithi ahadi" humaanisha kupokea mambo mema ambayo Mungu ameahidi kuwapa watu wake.

. Musemo huu pia umetumika katika maana hasi ikiwarejelea watu wapumbavu au wasiotii "watakaorithi upepo" au watakorithi "upumbavu." Hii humaanisha kwamba wanapokea matokeo ya matendo yao maovu, pamoja na adhabu maisha yasiyo na maana.

ndugu

Msemo huu "ndugu" mara kwa mara humaanisha mtu mwanaume anayeshirikiana na mtu mwingine angalau mzazi mmoja kiukoo.

. Katika Agano la Kale, msule msemo "ndugu" pia umetumika kama uhusiano wa jumla kwa jamaa kama vile washirika wa kabila, ukoo, au wa kikundi kimoja.

. Katika Agano Jipya, mara kwa mara Mitume waliutumia "ndugu" kumaanisha Mkriso mwenzako, likijumuisha wote wanaume na wanawake. kwa kuwa Waminio katika Kristo wote ni washirika wa familia moja ya kiroho, na Mungu akiwa Baba yao wa mbinguni.

. Mara chache katika Agano Jipya mitume walitumia msemo "dada" walipomaanisha Mkristo mwanamke moja kwa moja, au kusisitiza kwamba wote, wanaume na wanawake wamehusishwa. Kwa mfano, Yakobo anasisitiza kwamba anaporejelea "kaka" na "dada" anyehitaji chakula au nguo, atakuwa nazungumzia waamini wote.

MAPENDEKEZO YA UFASIRI

kikundi cha watu, watu, watu wa,

Tazama maelezo ya sura ya 18:1-3

Israeli, Waisraeli, taidfa la Israeli

Ule msemo "Israeli" in jina ambalo Mungu alimpa Yakobo, linamaana ya, "yule apambanaye na Mungu

. Wale wazao wa Yakobo walikuja kujulikana kama "watu wa Israeli," taifa la Ireaweli," au "Waisraeli."

. Mungu aliunda agano lake na watu wa Israeli. Walikuwa watu wake wateule.

. Tifa la Israeli liliundwa na makabila kumi na mbili. . Mara tu baada ya mfale Sulemani kufa, Israeli iliganyika katika falme mbili: ufalme wa Kusini uliitwa "Yuda" na ule uflamue wa Kaskazini uliitwa Israeli.

. Mara zote ule msemo "Israeli" waweza kutafsiriwa kuwa, "watu wa Israeli," au ""taifa la Israeli," kulingana tu ma mazingira.