352 B
352 B
Maelezo Unganishi
Mungu anaendelea kumwambia Musa yaliyompasa kuwaambia watu.
wao ni watumishi wangu
"wananchi wenzako ni watumishi wangu"
Hawatauzwa kama watumwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Haiwapasi kuwauza kama watumwa.
waweza kununua watumwa kutoka kwao.
"labda mwaweza kununua watumwa kutoka kwa mataifa hayo"