sw_tn/lev/25/33.md

680 B

nyumba hiyo iliyouzwa katika miji ilimo, ni lazima irejeshwe

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yyule aliyeinunua hiyo nyuma iliyoko mjini sharti airudishe "

mwaka wa Yubile

"mwaka wa urejesho" au mwaka wa kurudisha ardhi na kuacha huru watumwa"

miongoni mwa watu wa ni mali yao

Nchi ya Kanaani iligawanywa miongoni mwa watu wa Israeli, lakini katika hiyo, Walawi walikuwa wamepewa miji 48 tu pamoja na mashamba kuizunguka miji hiyo. : "sehemu ya ardhi yao ambayo Waisraeli wanaimiliki" au "mali yao katika nchi ya Israeli"

Lakini yale mashamba yanayozunguka miji yao hayataweza kuuzwa

"Lakini Walawi hawatauza hayo mashamba yanayozunguka miji yao"