491 B
491 B
ardhi hiyo ilipouzwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "alipoiuza hiyo ardhi"
kurejesha kwa mtu aliyemuuzia fedha iliyosalia
Hii yaweza kuwekwa wazi. : "kuilipa hiyo fedha kwa mnunuzi aliyeinunu hiyo ardhi ambayo angekuwa amishailipa"
mwaka wa Yubile
Tazama lilivyotafsiriwa katika sura 25:10
ardhi itarejeshwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yule aliyeinunua hiyo ardhi atairejesha"
atarejea kwenye mali yake
"atarudi kwenye ardhi yake"