sw_tn/lev/25/23.md

643 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuzungumza

Ardhi haitauzwa kwa mmiliki mpya wa kudumu,

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. ; "Haipasi kuiuza ardhi yenu kwa kudumu kwa mtu mwingine"

lazima muitunze haki ya ukomboz

Jina "ukombozi" laweza kuelezwa na vitenzi "komboa" au "nunua tena ulichokiuza." : "yawapasa mkumbuke kwamba yule mmiliki wa asili anayo haki ya kuikomboa tena ardhi wakati wowote"

itawapasa kuruhusu ardhi inunuliwe tena na familia ambayo wewe uliinunua hiyo ardhi

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "lazima muiruhusu familia ile ambayo mliinunua ardhi kwao kuinunua tena hiyo ardhi"