sw_tn/lev/24/10.md

309 B

Sasa ilitokea

Kirai hiki kianunda sehemu mpya ya kitabu.

akalikufuru jina la Yahweh na kumlaani Mungu

Vilai vyote viwili kimsingi humaanisha kitu kimoja. "akamfufuru Yahweh kwa kumalaani" au alisema mambo maovu kumhusu Yahweh"

Shelomithi

Hili ni jina la mwanamke.

Dibri

Hili ni jina la mwaume.