sw_tn/lev/21/18.md

489 B

asimkaribie Yahweh

Ilipasa kuhani awe na viwango maalum vya kimaumbile ili kumkaribia Yahweh. Hii haimaanishi kwamba kasoro za kimaumbile yalikuwa ni matokeo ya kutokuwa mwadilifu au kwamba watu alio na kasoro za kimaumbile hawana uwezo wa kumkaribia Yahweh.

aliyeharibiwa uso au kupungukiwa na viungo mwilini,

"ambaye mwili au uso wake umeharibiwa"

kutoa mkate wa Mungu wake

"Mkate" hapa huwakilisha chakula kwa ujumla. : "kufanya matoleo ya chakula juu ya madhabahu ya Mungu"