sw_tn/lev/21/04.md

246 B

pembe

"ncha"au "sehemu yoyote"

Watakuwa watakatifu

"sharti watengwe"

hawataliaibisha jina la Mungu wao

Neno "jina" limetumika kuwakilisha tabia ya Yahweh. : "wasije wakalitia aibu heshima ya Mungu" au wasije wakamfedhehesha Mungu wao"