415 B
415 B
mwanaume analala na
Tazama ililivyofasiriwa katika 20:11-12
kama alalavyo na mwanamke
Namana anavyomtendea mwanaume ndivyo angemtendea mwanamke. : "ni kama vile tu angelifanya na mwamke"
jambo lililo ovu.
"jambo la aibu" au "jambo la kuchukiza"
Hakika watauawa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa kuwaua hakika"
mwanaume huyo na manamke huyo
Tazama maelezo ya sura 20:12