sw_tn/lev/20/10.md

720 B

Mwanaume yeyote afanyaye uzinzi na mke wa mwanaume mwingine, yaani, yeyote anayezini na mke wa jirani yake

Maana kamili sentensi hii yaweza kuwekwa wazi. : "Yule mwanaume aziniye na mke wa mtu mwingi"

lazima wote wawili wauawe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "sharti mtawaua wote wawili"

anayelala na mke wa baba yake ili kukutana naye kimwili

Hii ni ni njia ya upole ya kusema kwamba anafanya ngono na mke wa baba yake. Kuna baadhi ya lugha hutumi virai vya moja kwa moja kama vile "kufanya ngono na mke wa baba yake."

Wametenda upotovu

Hapa Mungu anamwita mwanawume anayelala na mke wa mwanae "potovu" , kuw ni dhambi mbaya sana. Tanzama katika sura 18:22 lilivyotafasiriwa ne "uovu"