sw_tn/lev/19/09.md

471 B

Unapovuna mavuno ya ardhi yako, usivune hata pembezo mwa shamba lako kabisa

"Unapokusanya mazao yako, usiyakusanye yote hata mipakani mwa mashamba yako"

wala hutakusanya mabaki ya mavuno yako yote

Hii hurejelea ile desturi ya kurudia kuvuna shambani kama kipindi cha pili cha kukusanya mazao yaliyobaki baada ya kipindi cha kwanza. Maana kamili ya maelezo haya yaweza kuwekwa wazi. : "na usirudi nyuma uvunapo shambani na kuokota masalio yote uliyoyaachia nyuma"