sw_tn/lev/18/29.md

375 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anamaziliza kumwambia Musa kinachowapasa watu kunda.

watu...watakatiliwa mbali kutoka miongoni mwa watu wao

Tazama lilifasiwa katrika sura zilizotangulia.

ambazo zilitendwa hapo kabla yenu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. :"ambayo watu waliyatenda hapa kabla yenu"

kwazo

"Kwazo" hapa hurejelea desturi zenye machukizo