sw_tn/lev/18/26.md

425 B

aina yoyote ya mambo haya ya machukizo

"lolote haya mambo ya kuchukiza"

haya ya machukizo

Hii iinamaanisha "mambo haya ya machukizo."

Kwa hiyo, muwe waangalifu

"Kwa hiyo basi iwenu waangalifu"

ili kwamba nchi isiwatapike nyinyi baada ya kuwa mmeinajisi, kama ilivyowatapika wale watu

Tazama maelezo ya sura 18:24. : "ili kwamba ninawaondoa kwa nguvu mtoke katika nchi...kama nilivyowaondoa kwa nguvu hao watu"