sw_tn/lev/18/21.md

442 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa watu kisichowapasa kukifanya ambacho kingewachafua wao.

Msiwatoe watoto wenu ili kuwapitisha kwenye moto

Kile kirai "kuwapitisha kwenye moto" humaanisha kuwachoma kitu kwa moto kwa dhabihu. : "Msiwachome moto wato wenu wangali hai"

msije mkalikufuru jina la Mungu wenu

"KNeno "kukufu" hapa ni kufedhehesha. Neno "jina" humwakilisha Mungu mwenyewe. : "msimfedheheshe MUngu wenu."